Time: 1 hour 45 minutes Instructions: 1. This quiz counts for 10% of your course work 2. Dictionaries, text books, and any electronic devices are not allowed 3. This quiz is ideal for Intermediate Swahili learners
Uje
Kuja
Njoo
Ukuje
Usikwende
Usende
Hakwendi
Nenda
Mbwa wachukuliwe
Mbwa lazima uwachukuwe
Tafadhali beba mbwa
Mbwa lazima wabebwe
Wasichana mbili la kwanza rembo
Msichana mabili la kwanza mrembo
Wasichana wawili wa kwanza warembo
Wasichana warembo wapili wa kwanza
Gari jipya dogo jekundu
Gari mdogo mpya mwekundu
Gari ndogo mpya ekundu
Gari lekundu lidogo jipya
Jambazi sugu akamatwa
Rais akasirishwa na jeshi la polisi
Rais alikasirishwa na jeshi la Polisi. Akaamrisha wajiuzulu
Wanafunzi wakaguwa jingo jipya la shule
Mti tatu ya kwanza
Miti mitatu ya kwanza
Miti watatu wa kwanza
Miti vitatu vya kwanza
Waingiaji bila ruhusa wataliwa
Waingiliaji bila ruhusa waliwe
Waingiliaji bila ruhusa watakulwa
Waingiliaji bila ruhusa watalwa
Hakuli
Hakula
Hali
Huli
Nini ni rafiki yako mzuri?
Wapi ni rafiki yako nzuri?
Nani ni rafiki yako mzuri?
Yupi ni rafiki lako nzuri?
Nyumba lako ni wapi?
Nyumba yako yuko wapi?
Wapi yuko nyumba yako?
Nyumba yako iko wapi?
Lini unaamka?
Wakati gani unaamka?
Wakati unaoamka?
Unapoamka lini?
Mtu na bunduki ya dhahabu
Mtu pamoja na bunduki ya dhahabu
Mtu aliye kuwa na bunduki ya dhahabu
Mtu mwenye bunduki ya dhahabu
Mtu wa hekima
Mtu hekima
Hekima mtu
Mtu mwenye hekima
Mama alimpika chakula
Mama aliwapika chakula
Mama alikipika chakula
Mama alilipika chakula
Mwalimu alimsomesha wanafunzi
Mwalimu aliusomesha wanafunzi
Mwalimu alizisomesha wanafunzi
Mwalimu aliwasomesha wanafunzi
Mzee aliikata miti
Mzee aliukata miti
Mzee aliwakata miti
Mzee alizikata miti
Mtoto alilivunja nyumba
Mtoto aliyavunja nyumba
Mtoto aliivunja nyumba
Mtoto alikivunja nyumba
Mwalimu alimnunuwa gari
Mwalimu alilinunuwa gari
Mwalimu alizinunuwa gari
Mwalimu alivinunuwa gari
Rafiki yangu atayanunuwa chombo
Rafiki yangu atainunuwa chombo
Rafiki yangu atakinunuwa chombo
Rafiki yangu atawanunuwa chombo
Mimi nina mwalimu
Mimi huwa mwalimu
Mimi nitakuwa mwalimu
Mimi ni mwalimu
Samehena
Samehiana
Sameheana
Samehina
Ukapika
Akapika
Akakupika
Nikapike
Mimi nina vidole kumi
Mimi ni vidole kumi
Mimi huwa na vidole kumi
Mimi nilikuwa na vidole kumi
Mwizi akakamatwa
Mwizi kakamatwa
Mwizi akakamatwe
Mwizi nikamkamate?
Wait!
Here's an interesting quiz for you.